VIDEO: MGOMBEA KATIKA BUNGE LA MAREKANI AKIHOJIWA NDANI YA KILIMANJARO STUDIO.
![]() Photo Credits: @wjawando |
Hivi Karibuni Mgombea uwakilishi katika Bunge la Marekani William Jawando, alihojiwa na Mubelwa Bandio katika studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland
nchini Marekani.
Mbali na mambo mengine, alizungumzia mikakati yake katika
kuisaidia diaspora ya Afrika katika eneo lake na Marekani kwa ujumla.
Ikumbukwe kwamba 10% ya wazaliwa wa Afrika wanaoishi Marekani, wapo katika jiji la Washington DC. Karibu ufuatilie mahojiano hayo;
No comments: