LIVE STREAM ADS

Header Ads

WANANZENGO NA MAPOZI YAO.

Anaitwa Mwananzengo Yusuph Magupa kutoka 102.5 Lake Fm, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo (Wananchi ama Wakazi wa eneo fulani katika Lugha ya Kisukuma)
Kumbuka hii ni Radio Mpya ya Wananzengo, iko katika matangazo ya Majaribio tangu Machi 14 Mwaka huu.
Anaitwa Mwananzengo Jenipher Deus. Ni Meneja wa 102.5 Lake Fm, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Anaitwa Mwananzengo Amos Gomba, Mkuu wa Idara ya Habari 102.5 Lake Fm, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Anaitwa Mwananzengo George Binagi-GB Pazzo, Mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Anaitwa Mwananzengo Benjamin Kanuda ambae ni Mkuu wa Idara ya Ufunzi na Mawasiliano 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Anaitwa Mwananzengo Dj Benny ambae ni Dj wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Anaitwa Mwananzengo Elizabeti Boniventure kutoka idara ya Chakula na Usafi 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Anaitwa Mwananzengo Mc God kutoka Jijini Mwanza. Hapa alikuwa katika Studio za 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo
Wanaunda Kundi la Muziki la Weusi. Joh Makini (Kushoto0 pamoja na G-Nako Warawara (Kulia). Hapa walikuwa katika Studio za 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha Ya Rock City #Radio Ya Wananzengo.
Picha Zaidi Follow Instagram, Facebook & Twitter @lakefmmwanza

No comments:

Powered by Blogger.