LIVE STREAM ADS

Header Ads

UMEISIKIA HII KUTOKA MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS, WABUNIFU NA WASHONAJI WA MAVAZI JIJINI MWANZA.

Mikaela Professional Tailors ni Wabunifu na Washonaji wa Mavazi ya kila aina Jijini Mwanza. Katika Kutoa mchango kwa wabunifu, Mbali na umahiri wao katika Ubunifu na Ushonaji wa Mavazi, pia Wanashona Mavazi yoyote yanayobuniwa na Wabunifu wanaochipukia.

Furaha yao ni kukuhudumia leo, hivyo tembelea ofisi zao zilizopo barabara ya Airpot, Ghana Green View, Mkabara na Msikiti wa Thabiq au piga simu nambari 0688 447 444 au 0767 682 888

No comments:

Powered by Blogger.