LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUTOKA INTERNATIONAL LANGUAGE TRAINING CENTRE, HII INAKUHUSU.

International Language Training Centre ni Taasisi iliyopo Isamilo barabara ya Medical Research, Jijini Mwanza ambayo inayofundisha lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa kama vile Kisukuma, Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Kijerumani na Kijapani. 
Pia tunatoa mafunzo ya Computer pamoja na elimu ya Makuzi kwa watoto (Day Care Centre).
Kuna Ofa Maalumu hivyo Wasiliana nasi kwa nambari 0754 66 49 33 au 0784 66 49 33

No comments:

Powered by Blogger.