LIVE STREAM ADS

Header Ads

LA KWETU CONERT 2016 KUWAINUA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI.

La Kwetu Concert, ni Tamasha Kubwa la Muziki wa Injili linalotarajiwa kufanyika hapa nchini. 
Ni tamasha ambalo limelenga kuwainua waimbaji wa muziki wa injili kutoka hatua moja kwenda nyingine. Ni kwa waimbaji wasiofahamika, wa kati na wajuu ambapo wote watapate nafasi ya kuonyesha kazi zao jukwaani ili kusonga mbele zaidi.
Habari Zaidi Bonyeza HAPA

No comments:

Powered by Blogger.