BLOGGERS WATINGA BUNGENI MJINI DODOMA.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania aliowaalika wakati wa kuwasilisha juzi hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Annastazia Wambura.
Picha na Richard Mwaikenda
Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya wizara hiyo
Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akisoma taarifa ya maoni ya upinzani kuhusu wizara hiyo.
No comments: