LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG PICHA YA SIKU.

Sylvester Joseph ambae ni Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa Afya Radio ya Jijini Mwanza akiwa na Tuzo yake ya Umahiri katika Uandishi wa Habari za Elimu upande wa redio kwa mwaka 2015.

Tuzo hizo huandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT kwa ushirikiano na wadau mbalimbali wa Habari na hujulikana kama Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania EJAT.
Photo Credit:Lodrick Ngowi

No comments:

Powered by Blogger.