LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY "EVA JENGO" MDAU WA BMG TARIME MKOANI MARA.

May 10 miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa mdau wa BMG, Eva Ghati Jengo (pichani) anaewakilisha Kurya Empire Jengo Pharmacy ndani ya Tarime Mkoani Mara.

"Strong Woman, Thanks Mum kwa kunileta duniani. Wewe ndiye kila kitu kwangu, Sina lugha nzuri ya kuelezea ila NAKUPENDA SANA, Happy Birth Day to me". Jengo ameandika maneno hayo na kuambatanisha picha yake (aliesimama) akiwa na mama yake (aliekaa).
BMG tunakutakia Maisha Mema.

No comments:

Powered by Blogger.