Kulia ni moja ya Mabasi yaendayo kasi yanayofanya safari zake Jijini Dar es salaam. Mabasi haya yanatumia barabara zake na hayachangamani na magari mengine, lakini unaweza kujiuliza ni ajali au uzembe ukikuta ajali kati ya vyombo vingine vya moto (magari) na mabasi hayo.
NI AJALI AU UZEMBE?
Reviewed by BMG Media
on
May 10, 2016
Rating: 5
No comments: