JIPATIE MAHITAJI YAKO NDANI YA "MCHAPAKAZI" UKIWA JIJINI MWANZA.
"Mchapakazi 2012 Auto Accessories & Parts" ni Mabingwa wa Uuzajiwa Urembo wa Magari nchini. Wanapatikana Jijini Mwanza, mita chache kutoka Kituo cha daladala cha Igombe, Barabara ya Kenyatta. Wasilianao nao kwa nambari 0759 26 68 80 kwa huduma zaidi.
No comments: