LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY MOTHER'S DAY 2016.

May 08, kila mwaka Mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania huadhimisha SIKU YA MAMA DUNIANI. Siku hii hutoa fursa ya kutambua na kuthamini mchango wa Mama/akina mama katika jamii hususani kwenye suala la malezi bora katika familia.

Jumapili ya leo May 08,2016, BMG inapenda kutumia fursa hii kuwapongeza akina Mama wote duniani kwa upendo wao. kubeba mimba, kulea mimba, kujifungua kwa uchungu pamoja na kulea mtoto ni jambo linalotoa nafasi nyingine kwa akina mama kupokea pongezi za dhati kutoka BMG.

No comments:

Powered by Blogger.