Hii ni shule ya Awali ya Dr.Moses Kulola iliyopo Lumala karibu na Soko la Sabasaba, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Iko chini ya Kanisa la EAGT Lumala Mpya, lengo likiwa ni kuihudumia pia jamii kielimu. Karibu sana.
KARIBU DR.MOSES KULOLA ENGLISH MEDIUM SCHOOL ILIYOPO ILEMELA MKOANI MWANZA.
Reviewed by
BMG Media
on
June 03, 2016
Rating:
5
No comments: