LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUWA NADHIFU NA MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS UEPUKE LAWAMA NA MAJUNGU MITAANI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Nasi Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

BMG imepata fursa ya kufika Mikaela Professional Tailors ambao ni Mabingwa wa Kubuni na Kushona Nguzo za kila aina (za kiume na Kike) na kujionea ubunifu wa hali ya juu katika suala la mavazi.

Zamani watu wengi walikuwa wanastahili kulaumiwa ama kusengenywa na majirani ama marafiki zao kwa kushindwa kuwa nadhifu kwa sababu walikuwa hawajui ni wapi wakifika wataweza kupendeza kwa mavazi mazuri.

Hivi sasa mambo yamebadilika na hupaswi kulaumiwa hata kidogo. Hata kama hujui aina za mavazi, ukifika maeneo yanayohusika na masuala ya uvaaji kama Mikaela, utaelekezwa kila kitu na hatimae kuwa nadhifu. 

BMG Inakusihi usichelewe ewe mama, baba, kaka au dada bali fika mapema Mikaela Professional Tailors waliopo Ghana Green View Jijini Mwanza Upendeze kwa mavazi bora.
Wasiliana na Mikaela Professional Tailor kwa nambari za simu 0767 68 28 88 Mahitaji ya nguo bora.

No comments:

Powered by Blogger.