LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAELFU WAZIDI KUMIMINIKA KATIKA MKUTANO WA INJILI WA REINHARD BONNKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Nasi Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Ujerumani, Daniel Kolenda, akihubiri katika Mkutano Mkubwa wa Injili unaoendelea Jijini Mwanza. Mkutano huo ambao unafanyika katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza, ulianza Alhamisi June 23,2016 na unatarajia kufikia tamati kesho Jumapili June 26. Ni Mkutano ulioandaliwa kwa Ushirikiano na Umoja wa Makanisha Mkoani mwanza.
Tangu kuanza kwa Mkutano huo, maelfu ya wananchi wakiwemo wa madhehebu mbalimbali Jijini Mwanza, wamezidi kumiminika katika Uwanja wa Furahisha ili kupokea baraka kutoka kwa Watumishi wa Mungu wanaohudumu katika Mkutano huo.
Watu wengi wamepokea uponyaji wa ajabu katika Mkutano huo ambao unafikia tamati kesho jumapili.

No comments:

Powered by Blogger.