LIVE STREAM ADS

Header Ads

SALAMU ZA BMG: PONGEZI ZIKUFIKIE POPOTE ULIPO MHARIRI WA 102.5 LAKE FM MWANZA.

June 21 Miaka Kadhaa iliyopita, Alizaliwa Mhariri Mkuu wa 102.5 Lake Fm #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo ya Jijini Mwanza, Amos Gomba. BMG inakutakia Maisha Mema na Mola Akubariki Wewe na Familia yako.

"Namshukuru Mungu kwa siku hii muhimu sana kwangu kuadhimisha tarehe niliyozaliwa,sikumbuki mwaka gani lakini ilikuwa Jumamosi ya June 21, Mwl Migongo End na wengine mtanisaidia kukumbuka mwaka na karibuni kwa zawadi za huyu mtoto anayeadhimisha kuzaliwa kwake leo".Ameandika Gomba kwenye ukurasa wake wa Facebook.

No comments:

Powered by Blogger.