LIVE STREAM ADS

Header Ads

VITUKO MITANDAONI WAKATI TCRA IKITARAJIA KUZIMA SIMU FAKE HII LEO.


Wakati Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, hii leo June 16,2016 saa 23:59 ikitarajia kuzima simu zisizo halali (simu fake), vituko mitandaoni vinaendelea kujitokeza kama ambavyo picha inaonekana ikiwa na maneno "Unapogundua Simu yako haizimwi".
BMG Angalizo: Inawezekana picha isiwe na uhalisia katika maana.

No comments:

Powered by Blogger.