LIVE STREAM ADS

Header Ads

RAIS MAGUFULI KUTUA MKOANI SINGIDA HII LEO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya katika mkoa wa Singida wakiwa wilayani Manyoni asubuhi hii kwa ajili ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ambaye anatarajia kufanya ziara ya siku moja mkoani Singida.

Kutoka kushoto ni Miraji Mtaturu (Ikungi), Elias Tarimo (Singida), Emanuel Luhaula (Iramba), Jackson Masaka (Mkalama) na Geofrey Mwambe (Manyoni).

No comments:

Powered by Blogger.