LIVE STREAM ADS

Header Ads

MKUU WA WILAYA YA IKUNGI MKOANI SINGIDA AZINDUA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU WILAYANI HUMO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Jumanne Mtaturu, akichangia damu katika zoezi la uzinduzi wa Uchangiaji wa damu wilayani humo lenye lengo la kunusuru maisha ya wananchi wanaofariki kutokana na kukosa damu wakati wa uhitaji.

Mtaturu aliwasihi wananchi kuwa na desturi ya kuchangia damu ili kuondokana na upungufu wa damu ambao husababisha adha kubwa kwa wahitaji wa damu mahospitalini.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Jumanne Mtaturu, akihojiwa kuhusu umri na mambo kadha wa kadha ili kufanyika utambuzi wa awali kabla ya zoezi la kuchangia damu halijafanyika. Mtaturu alichangia Unit 450 za damu ambazo ni sawa na chupa moja.
Imeandaliwa na Mathias Canal & Vesterjtz

No comments:

Powered by Blogger.