LIVE STREAM ADS

Header Ads

TIGO YAZINDUA DUKA JIPYA LA KISASA KATIKA WILAYA YA KONGWA MKOANI DODOMA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com



Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi(katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Tigo mjini Kibaigwa, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata, kulia ni Meneja Ubora kwa wateja, Mwangaza Matotola.


Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini,Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka hilo jipya kwa Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi mara baada ya uzinduzi    wa duka jipya la kampuni ya Tigo.


Baadhi ya wakazi wa mji wa Kibaigwa wakishuhudia uzinduzi wa duka hilo mapema wiki iliyopita.

No comments:

Powered by Blogger.