LIVE STREAM ADS

Header Ads

BALOZI WA ISRAEL NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba, akiongea jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan, alimpomtembelea Waziri Makamba  Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wakijadiliana jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba  Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam. Wengine ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana na Balozi huyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akisoma Nakala za machapisho  alizopatiwa na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh . Yahel Vilan.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Powered by Blogger.