LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAMBO YA 102.5 LAKE FM MWANZA, RAHA YA ROCK CITY, REDIO YA WANANZENGO KWENYE MAONESHO YA NANENANE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Maonesho ya Wakulima na Wafugaji yanaendelea kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza tangu Agost Mosi mwaka huu.

Kiboko ya burudani Jijini Mwanza 102.5 #LakeFm #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo #Mwanza imeendelea kukutana na #Wananzengo wake katika maonesho hayo kama ambavyo wanaonekana katika mapozi bomba.

Bonyeza HAPA kutazama picha tofauti za Nanenane!

No comments:

Powered by Blogger.