LIVE STREAM ADS

Header Ads

NANENANE KANDA YA ZIWA, KAMPUNI YA TIGO YAFANYA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Meneja wa Masoko wa Kanda ya Ziwa wa Tigo, Ali Mashauri, akimpatia zawadi ya kanga mkazi wa Ilemela Jijini Mwanza, Lailat Komba, kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kanda ya Ziwa kwenye Uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza, baada ya kununua simu an kushinda zawadi.
Wateja wa Tigo wakiwa kwenye banda la Tigo la maonyesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Nyamuhongolo Jijini Mwanza.
Wakazi wa mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye banda la Tigo katika viwanja vya Nanenane Nyamuhongolo.
Picha na Klantz Mwantepele

No comments:

Powered by Blogger.