LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYONOGA KWENYE KISHINDO CHA TIGO FIESTA 2016 JIJI LA TANGA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Roma Mkatolili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika Tamasha hilo liliofanyika katika viwanja vya  Mkwakwani Jijini Tanga usiku wa Ijumaa iliyopita Septemba 23,2016.
Na Krantz Mwantepele
Nahreel na Aika toka Kundi la Navykenzo wakilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Mkwakani Jijini Tanga.
Shetta akiwa na wacheza wake akitoa burudani kwa maelf ya mashabiki waliojitokeza  katika Viwanja vya Mkwakwani usiku wa Ijumaa 
Kundi la weusi wakitoa burudani na michano ya nyimbo zao kali kwa wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la burudani la Tigo Fiesta jijini Tanga
 Barnaba akiwa  kwenye  jukwaa la Tigo fiesta uwanja  wa  Mkwakwani   Tanga  usiku  wa  ijumaa
Benpol akitumbuiza kwa Style ya Mduara na wacheza shoo wake 
DOGO JANJA naye akiwakonga wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo fiesta
Makomandoo wakionesha umahiri wao wa kumiliki jukwaa 
Maua Sama naye aliwakonga nyoyo wapenzi wa burudani waliojitokeza kwa wingi katika Tamasha la Tigo Fiesta jijini Tanga.
Nay wa Mitego akilivamia jukwaaa la Tigo Fiesta katika Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Mkwakani usiku wa ijumaa iliyopita.
Maelfu ya wakazi wa jiji Tanga waliojitokeza katika viwanja vya Mkwakwani katika Tamasha la Tigo Fiesta wakipata burudani kwa wasanii wa Bongofleva na Vikundi vya Taarabu vilivyotoa burudani ya kukata na shoka usiku  wa ijumaa iliyopita Septemba 23,2016.

No comments:

Powered by Blogger.