LAKE FM MWANZA YAWAUNGANISHA WASIKILIZAJI WAKE.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
"Sasa tunaunganishwa duniani kote na #LakeFm kupitia application ya #Zuninga. Karibu tupate #RahaYaRockCity ndani ya brandy kubwa 102.5 #LakeFm #RedioYaWananzengo #Mwanza". Umeeleza uongozi wa Lake Fm Mwanza, redio mpya inayosikilizwa sana Jijini Mwanza.
Ipakue hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.zanteltv Application ya Zuninga.
No comments: