LIVE STREAM ADS

Header Ads

MADEREVA HODARI WA BAISKELI MKOANI SIMIYU.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

BMG ikiwa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, nimebaini kwamba usafiri wa baiskeli bado una nafasi kubwa kwa wakazi wa Wilaya hiyo ambao asili yao ni Wasukuma.

Hakika inavutia zaidi namna akina mama na hata watoto kwa namna wanavyoonesha uhodari wa kunyonga pedo za baiskeli kama picha zinavyoonekana. Na hapa ndipo jibu la kwa nini Wasukuma ni hodari hata kwenye mashindano ya kuendesha baiskeli linapopatikana, maana utamaduni wao wa kuendesha baiskeli bado haujapotea.
Ikiwa hujui kuongoza ndege, meli, treni ama kuendesha gari, au pikipiki, jitahidi japo ujue kuendesha hata baiskeli.

No comments:

Powered by Blogger.