MAMILIONI YA WANAFUNZI HUMALIZA DARASA LA SABA WAKIWA HAWANA UELEWA WA MASOMO HATA YA DARASA LA PILI-TWAWEZA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Na James Salvatory - BMG Dar
Imeelezwa kuwa mamilioni ya wanafunzi nchini humaliza elimu ya msingi bila kuwa na uelewa wa masomo ya darasa la pili huku kukiwa hakuna usawa wa upatikanaji wa elimu pamoja na vifaa vya mashuleni.
Hayo yalibainishwa jana Jijini Dar es salaam katika uzinduzi wa takwimu ya kuruhusu mtihani wa darasa la pili na meneja wa uwezo Tanzania Zaida Mgalla amesema kuwa wanafunzi wanne kati ya kumi ambao ni sawa na ( 44%) hawawezi kusoma hadidhi ya kingereza ya kiwango cha darasa 2 wawili kati ya kumi (16%) hawezi kusoma hadithi ya Kiswahili ya kiwango cha darsa la pili.
Aidha alisema kuwa zaidi ya 50% ya walimu hawaudhulii vipindi ambapo serikali imekuwa ikipoteza shilingi Milion 3 tu kwa mwaka kwa kila mwalimu waTanzania ambaye hakuweza kuhudhulia vipindi darasani.
Matokeo ya masomo yote matatu yaliyopimwa katika tathimini ya uwezo ya mwaka ya kujifunza yameendelea kubaki chini kwa darasa la 3 huku 54% ya wanafunzi wanaweza kusoma hadithi ya Kiswahili ya darasa la pili wakati 19% tu ya wanafunzi wanaweza kusoma hadithi ya kiingereza ya darasa la pili na 35% ya wanafunzi wanaweza kufanya hesabu za darasa la pili.

No comments: