LIVE STREAM ADS

Header Ads

MKOA WA SINGIDA WAPATWA NA KISHINDO CHA BURUDANI YA MSIMU WA TIGO FIESTA 2016.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Msanii Ben Pol akiwa jukwaani  kuwapagawisha   wakazi   wa   Singida   kwenye  tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika  uwanja wa  Namfua  usiku  wa  kuamkia juzi.
Na Krantz Mwantepele
Dj D Ommy akiwa katika kuhakikisha kuwa kila burudani inayotolewa na wasanii inakuwa katika utaratibu maalum katika usiku wa Tamasha la Tigo Fiesta mkoani Singida katika viwanja vya Namfua usiku wa juzi.
FID Q akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Singida katika viwanja vya Namfua usiku wa juzi
JUX akiwaburudisha wapenzi wa muziki waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Namfua mkoani Singida wakati wa  tamasha la Tigo Fiesta usiku wa juzi
Niki wa pili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa juzi Mkoani Singida 
Malkia wa Uswazi Snura akiwa na madancer wake katika kuwapagawisha wakazi wa Singida katika usiku wa Tigo Fiesta usiku wa juzi katika viwanja vya Namfua 
Maelfu ya wakazi wa Singida waliojitokeza kwa wingi kushuhudia Tamasha kubwa la burudani Tigo Fiesta lilifanyika katika viwanja vya Namfua mkoani humo usiku wa juzi

No comments:

Powered by Blogger.