LIVE STREAM ADS

Header Ads

+PICHA ZA AJALI: DIWANI WA KATA YA HUNGUMALWA WILAYANI KWIMBA AZUNGUMZIA AJALI ILIYOTOKEA LEO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Daladala iliyopata ajali.
Na BMG
Watu 11 wamefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa baada ya basi la super shem lililokuwa likitokea mbeya kuligonga daladala katika eneo la Hungumalwa wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza.


Diwani wa kata ya Hungumalwa, Shija Malando, ameiambia Lake Fm kwamba ajali hiyo imetokea leo saa 12 asubuhi baada ya basi hilo kugongana uso kwa uso na daladala iliyokuwa ikitokea kijiji cha Shilima wilayani Kwimba.

Diwani Malando amesema miili ya marehemu pamoja na majeruhi wamepelekwa hospitali ya Ngudu Kwimba na wengine hospitali ya wilaya Misungwi.
Basi la Super Shem lililopata ajali.
Bonyeza HAPA Kujua zaidi.
Sikiliza HAPA Au Play hapo chini.

No comments:

Powered by Blogger.