LIVE STREAM ADS

Header Ads

TIGO YATOA MSAADA WA MADAWATI 235 KWA SHULE ZA MSINGI MKOANI MARA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mkuu  wa  Mkoa  wa Mara Dkt. Charles Mlingwa  akiongea na wazazi,walimu na wanafunzi wa shule ya msingiUtegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi  madawati   kwa  shule hiyo  jana. Jumla  ya madawati 235 yalitolewa kwa mkoa huo. Pichani kutoka kushoto Meneja waTigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo,Meneja wa Tigo kanda ya  ziwa, Edgar Mapande ,Mkuu wa wilaya ya  Rorya, Simon Chacha  na   Mwenyekiti wa  Halmashauri  mka Mara, Albert Machiwa.
Na Krantz Mwantepele
Meneja wa Tigo  Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi  wilayani Rorya wakati   wa  hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana.
Meneja wa  Tigo  kanda ya  ziwa, Edgar Mapande  akiongea na  walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi  madawati kwa shule  hiyo  jana, Wengine  pichani  kushoto  kwake  ni  mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt.Charles  Mlingwana  Mkuu wa wilaya ya   Rorya, Simon Chacha.
Mkuu wa mkoa  wa Mara Dkt. Charles Mlingwa  na  Meneja  wa   Tigo  kanda  ya  ziwa, Edgar Mapande  wakinyanyua mikono   juu   mara  baada  ya  makabidhiano  ya  madawati 135 kwa  wilaya ya Rorya na jumla ya   madawati 235 kwa  mkoa  wa Mara, hafla  iliyofanyika  shule yamsingi  Utegi wilayani  Rorya  jana


Wanafunzi wa  shule  ya msingi Utegi wakiwa wameketi kwenye madawati waliopewa na kampuni ya simu za mkononi Tigo jana.

No comments:

Powered by Blogger.