LIVE STREAM ADS

Header Ads

WABUNGE WA TANZANIA WALIVYONOGESHA TAMASHA LA TIGO FIESTA 2016 MKOANI DODOMA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Baadhi ya wabunge bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakicheza muziki na msanii, Ben Pol, kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika  uwanja  wa   Jamhuri Mjini Dodoma ijumaa Septemba 16,2016.
Na Krantz Mwantepele
Belle9 akiwapagawisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliojitokeza katika Uwanja vya jamhuri katika tamasha la Tigo Fiesta 
Jux na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja vya Jamhuri mwishoni wa wiki hii.
Wasanii   Bushoke   na Maua Sama   wakifanya shoo ya   pamoja    kwenye   tamasha la Tigo Fiesta 2016 uwanja  wa   Jamhuri Dodoma
hristian Bella akitumbuiza mashabiki wa burudani waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mkoani Dodoma.
Maua Sama na Nandi wakiimba kwa pamoja katika jukwaa la Tigo Fiesta katika Uwanja vya Jamuhuri Mkoani Dodoma
Vanessa na Mcheza shoo wake wakiburudisha maelfu ya wakazi wa Dodoma waliofika Uwanja vya Jamhuri kwenye Tamasha la Tigo Fiesta
Wabunge wakilisakata Rhumba wakiongozwa  na Msanii Benpol
Joh Makini na Niki wa Pilli toka Weusi wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson (kushoto), akifuatilia kwa makini  burudani inayotolewa na wasaniii waliopamba jukwaa la Tigo Fiesta 2016. Wengine ni Waziri Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Yusuph Makamba (kulia).

No comments:

Powered by Blogger.