WAZIRI MKUU AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
Na Dotto Mwaibale
Na Dotto Mwaibale
Swala ikiendelea.
Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.
No comments: