LIVE STREAM ADS

Header Ads

+AUDIO: Mahojiano na Mwanzilishi wa Kampuni ya Ubunifu ya Beautiful Jamila inayotangaza tamaduni za Kiafrika.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

 Kampuni ya Beautiful Jamila ilianzishwa mwaka 2013 na Rahima Shabani na makao makuu ni Atlanta Georgia nchini Marekani. Inajihusisha na harakati za kutangaza tamaduni za Ki-Swahili na Ki-Afrika.

Mwanzilishi wake aliungana nasi studio kuzungumza mengi kuhusu yeye, kampuni yake na tamasha lijalo.


No comments:

Powered by Blogger.