KHADIJA KOPA KUDONDOSHA BURUDANI KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE YA LAKE FM MWANZA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Ni Malkia wa taarabu Tanzania, Khadija Kopa, atadondosha burudani kali#Live kwenye usiku wa Mshike Mshike ya 102.5 @lakefmmwanza ndani ya Villa Park Resort Jijini Mwanza, huku akiwa na bendi yake.

Ni Alhamisi tarehe 27.10.2016, Usikosee kwa mtonyo wa buku saba kabla ya saa tano usiku, na buku kumi baada ya saa tano usiku!
#Lakefm #LakeFmDjs #BMG #BinagiBlog #UsikuWaMshikeMshike
No comments: