MKANDARASI MAIDA WAZIR ATAKUWEPO KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Hakika siyo Kongamano la kukosa, Sauti ya Mwanamke, litakuwa kongamano litakalowakutanisha wanawake wote Jijini Mwanza kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kufanikiwa, burudani pamoja na masuala mbalimbali ya akina mama.
Akina mama mbalimbali waliofanikiwa akiwemo Mkandarasi Maida Wazir, watazungumza na akina mama Jijini Mwanza na kuwahamasisha na wao kufanikiwa kwenye mikakati yao.
Usikoseee, kwani kwa shilingi 40,000 tu utapata mafundisho pamoja na burudani kutoka kwa wachekeshani na wanamuziki mbalimbali.
Ni Jumapili tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi
No comments: