LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kutoka VOA SWAHILI, tazama Kim Kardashian, Barack & Michelle Obama, Selena Gomez, Rihanna kwenye zuria jekundu.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mkamiti Kibayasi wa Idhaa ya Kimataifa ya Sauti ya America (VOA) kutoka Washington DC Marekani.

 Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. 

Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.