LIVE STREAM ADS

Header Ads

MBIO ZA TIGO IGOMBE CHARITY MARATHON MKOANI TABORA YAFANA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na wanariadha wa Tigo Igombe Charity Marathon, kabla ya kuzindua mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni wa wiki iliyopita mjini Tabora.
Na Krantz Mwantepele
Mtoa huduma Mwl Mwajuma Mwamba akiwasajili wanariadha mara baada ya kumaliza mbio za Tigo Igombe Marathon zilizofanyika mjni hapa.
Mkurugrnzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ally Maswanya akizungumza na wanariadha wa mbio za baiskeli kabla ya kuzindua shindano hilo.

Wanaridha wakiwa tayari kusubiria kipyenga cha Tigo Igombe Charity Marathon
Vijana wa mkoa wa Tabora wakishindana kukimbia wakati wa mashindano ya Tigo Igombe Charity Marathon yaliyofanyika jana mjini hapa.

Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na mwakilishi wa Tanzania Breweries Ltd ambao ni wadhamini wenza wa mbio za Tigo Igombe Marathon, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Ally Maswanya, mbio hizo zimefanyika jana mjini hapa.

No comments:

Powered by Blogger.