MKURUGENZI WA SHEAR ILLUSION NA MANJANO FOUNDATION KUTOA SIRI ZA MAFANIKIO KWENYE KONGAMANO LA MWANAMKE JIJINI MWANZA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Ni Tarehe 06.11.2016 kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke litakalofanyika Gold Crest Hotel Jijini Mwanza kuanzia saa 10 alasiri.
Atakuwepo mwanamama aliyefanikiwa kiuchumi, Shekha Nasser, ambaye ni Mkurugenzi wa Shear Illusion na Manjano Foundation ambapo atatoa siri za kujikwamua kiuchumi.
Kiingilio ni shilingi elfu kumi tu, utapata chakula, vinywaji, elimu pamoja na burudani.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi
No comments: