LIVE STREAM ADS

Header Ads

TANZIA: MJUMBE KAMATI TENDAJI YA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MWANZA AFARIKI DUNIA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Aliyekuwa Mjumbe Kamti Tendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Mwanza MPC na Mwandishi wa Habari ambaye enzi za uhai wake alifanya kazi na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo Kwa Neema Fm redio ya Jijini Mwanza, Neema Mwita, amefariki dunia.

Mratibu wa MPC, Edwin Soko, ameiambia BMG kwamba msiba huo umetokea hii leo Oktoba 24,2016 mkoani Tanga baada ya marehemu kuugua kwa muda.

Taratibu za mazishi ikiwemo kuusafirisha mwili kuja mkoani Mwanza zinafanyika na zitaendelea kutolewa kadri iwezekanavyo.
Tazama HAPA Viongozi wa MPC

No comments:

Powered by Blogger.