LIVE STREAM ADS

Header Ads

UZINDUZI WA KAMPENI YA JIVUNIE BIDHAA BORA ZA TANZANIA NA UTOAJI TUZO KWA CHAPA BORA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na Mratibu wa Tuzo za Chapa Bora 50 za Kitanzania Bw. Emmanuel C.  Nnko akitoa Maelezo kuhusu Fahari ya Tanzania na Mchakato mzima wa Upatikanaji wa Chapa Bora 50 za Kitanzania  katika hafla hiyo.
Na Krantz Mwantepele
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akifanya uzinduzi rasmi wa Tuzo hizo.
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akifanya uzinduzi rasmi wa Tuzo hizo.
wadau wakifuatilia uzinduzi wa kampeni ya jivunie 
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage naye akisaidiana na mgeni Rasmi katika uzinduzi wa tuzo hizo
Mkurugenzi wa TFDA Bw. Hiiti Sillo, Prof. Mpanduji Mkurugenzi Mkuu wa Sido wakiwa na Dr. Mubofu Mkurugenzi Mkuu wa TBS wakifuatilia kwa Makini Hotuba ya Mgeni Rasmi.

No comments:

Powered by Blogger.