LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kushoto akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso wakati alipofanya ziara wilaya ya Pangani kuangalia maeneo kutakapojengwa ukuta wa mto Pangani na Upandaji wa Miti ya Mikoko
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa ili kuweza kusaidia ukuaji wa uchumi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani(CCM) Jumaa Aweso kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
 Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kuhusu hatua wanazochukua kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Mto Pangani
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya ziara ya kuutembelea, kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya ziara ya kuutembelea, kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
 Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo akimuonyesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso (kulia).
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba  wa pili kutoka kushoto akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye katika Pangani kushoto  ni  Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa pili kutoka kushoto akiangalia maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi
 Hili ni miongoni mwa maeneo ya ukuta wa mto Pangani yaliyo athiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akitembelea maeneo mbalimbali kujionea athari za mabadiliko ya tabia ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba katikati akiangalia taarifa ya mradi wa Ujenzi wa Ukuta wa Mto Pangani mara baada ya kuutembelea jana.
Imeandaliwa na Mtandao wa Tanga Raha

No comments:

Powered by Blogger.