LIVE STREAM ADS

Header Ads

MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MAGHALA YA CHAKULA, KIWANDA CHA KAHAWA NA CHAI WILAYANI TARIME.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt.Charles Mlingwa jana alifanya ziara ya kikazi katika Wilaya Tarime na kukagua maghala ya chakula katika maeneo ya Rebu, Kenyamanyori, Mogabiri, Nkongore, Matongo na Pemba. 

Aliambatana na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga pamoja na Wakurugenzi wa Hamashauri zote mbili za Wilaya ya Tarime (Mji na Vijijini).

Dkt.Mlingwa pia alitembelea kiwanda cha kahawa na chai katika eneo la Rebu.

Picha Maureen Magaria, Mara Online

No comments:

Powered by Blogger.