LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAJUMBE WA TIMU YA ULINZI WA MTOTO WILAYA YA TARIME MKOANI MARA WANOLEWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Shirika la Plan International kwa kushirikiana na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) wameandaa mafunzo kwa wajumbe wa timu za ulinzi wa mtoto (Child Protection Teams) Wilaya ya Tarime mkoani Mara.

Yamelenga kuimarisha ulinzi wa mtoto ngazi ya kata na vijiji katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara. 

Mafunzo hayo yamefunguliwa leo na Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Tarime, Victor Kabuje (anayeongea katika picha) katika ukumbi wa Mroni Hotel.

Washiriki wa mafunzo hayo

                               Washiriki wa mafunzo hayo

Picha ya pamoja.
Imeandaliwa na Mtandao wa Mara Online

No comments:

Powered by Blogger.