WAZEE WA KAZI USO KWA USO.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Saleh Ally Jembe wa #SalehJembeBlog (kulia) na George Binagi-GB Pazzo wa #BinagiBlog (kushoto) walipokutana walibadilishana mawazo kuhusu utendaji wa kazi.
Walikutana Jijini Mwanza ambapo Jumapili Novemba 13,2016 ambapo kila mmoja alimpongeza mwenzake kwa kazi nzuri na kuahidi ushirikiano zaidi ili kuhakikisha jamii inapata habari zenye tija kwa wakati.
Kumbuka Jembe pia ni mchambuzi wa soka na Mwandishi wa habari Mwandamizi wa gazeti la michezo nchini la Champion huku Binagi akiwa ni Mchambuzi wa masuala ya kijamii na Mwandishi wa habari wa 102.5 Lake Fm Mwanza.
Bonyeza HAPA Kwa Picha Zaidi.
No comments: