LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHUO CHA MUHAS CHATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAHITIMU WAKE KUFIKIA MALENGO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Na James Salvatory, BMG Dar 
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kimetakiwa kuunganisha nguvu na wahitumu  wa chuo hicho ili kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili chuo hicho.

Akizungumza kwa niaba ya waziri wa elimu katiaka kongamano lililowakutanisha wa hitimu  wajasili  wa chuo hicho (alumn), mkurugenzi wa elimu ya juu kutoka wizara hiyo professa Sylivia Temu amesema muhas ni chuo ambacho hakijateteleka katika kutoa mafunzo na tafti na kuviomba vyuo vingine kuiga mafano huo.

Antonio Kayuni ambaye ni muhitimu wa chuo hicho anasema  malengo makuu ya kongamano hilo ni kujadili na kuweka  mawazo mbalimbali ya kuboresha chuo na kuweka mawanzo mbalimbali ili kuweza kusogeza chuo mbele katika nyanja zote.

No comments:

Powered by Blogger.