LIVE STREAM ADS

Header Ads

HARUSI YA WADAU JACKSON BINAGI NA MONICA SYAGA WA TARIME MKOANI MARA YAFANA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Jackson Jon Binagi (wa tatu kushoto) wa Kenyamanyori Tarime mkoani Mara, akiwa na wazazi wake pamoja na best man zake, wakati akielekea kwenye ndoa yake iliyofanyika hii leo Disemba 29,2016 mkoani humo.
Wazazi wa bwana harusi
Bibi harusi Monica Syaga, wa Mogabiri Tarime, akisalimiana na bwana harusi, Jackson John Binagi, wa Kenyamanyori Tarime.
Maharusi wakisalimiana kwa upendo
Maharusi na wapambe wao, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki
Maharusi na wapambe wao
Bwana harusi Jackson John Binagi (kushoto) pamoja na bibi harusi Monica Syaga (kulia)
Maharusi katika ubora wao
Wazazi wa bibi harusi wakiongozwa na baba, wakimpa baraka bibi harusi
Ni furaha kwa ndugu, jamaa na marafiki kucheza ngoma ya asili ya kikurya (Ritungu) kwenye harusi hiyo.
BMG inawatakia maisha mema maharusi

No comments:

Powered by Blogger.