LIVE STREAM ADS

Header Ads

HONGERA MWANANZENGO WA LAKE FM MWANZA KWA KUFUNGA NDOA.

Anaitwa Aisha Black Beauty Model (kulia), ambayo ni Mtangazaji wa kipindi cha Mshike Mchike cha 102.5 Lake FM Mwanza (saa nne asubuhi hadi saa saba mchana, jumatatu hadi ijumaa) akiwa na mwenza wake hii leo mkoani Shinyanga ambapo wawili hao wamefunga ndoa.

Timu nzima ya Lake FM na BMG inawatakia Maisha mema kwenye ndoa yenu.

No comments:

Powered by Blogger.