MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za
jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamulungu wakati akiongea na
kuzindua Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD)
yaliyofanyika jana makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo
kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo
yanayohusiana na usafiri wa Anga.
Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam,wakiwa
kwenye kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani
(ICAD)lililoandaliwa na Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar
es Salaam. Lengo kuu ilikuwa ni kuwahamsisha wanafunzi hao waweze kupenda
masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
PICHA NA FESTO KINGU-MTAZAMOMEDI BLOG.
No comments: