LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAHASIMU WA MUZIKI MKOANI GEITA, WAPANCRAS NA ZUJO WAMALIZA TOFAUTI ZAO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Hatimaye makundi mawili ya muziki mkoani Geita, WAPANCRSA linaloundwa na wasanii Payus na Mecras na lile la ZUJO linaloundwa na wasanii Sun Light, Stalon na Raper Gaidy, yamemaliza tofauti zilizokuwepo na kuamua kufanya ngoma pamoja.

Kwa muda mrefu makundi hayo hayakuwa kwenye uhusiano mzuri huku ikielezwa kwamba kila upande kujiona ni bora zaidi kulikuza kutokuelewana huko.

"Bifu hazina maana kwenye muziki hivi sasa kwani hata mashabiki hawapendi hivyo tumeona haina haja kuendelea kuzinguana wakati sisi wote ni wakati na ndiyo maana Zujo wametushirikisha kwenye wimbo wao uitwao Thanks nasi tukakubali". Msanii Mecras ameiambia BMG.

No comments:

Powered by Blogger.