KAIMU MKUU WA MKOA WA TANGA AIPONGEZA TAYODEA KWA KUSAIDIA KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa akibadhi vifaa vya vijana wa mradi wa WEKEZA (Wezesha Ustawi Endelevu kiwango cha Elimu Kuzuia Ajira kwa watoto) kulia ni Mkurugenzi wa Tayodea, David Chanyegea na kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga,Faidha Salim
Mkurugenzi
wa
Tayodea, David Chanyege akizungumza wakati wa halfa hiyo kushoto kwake
ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni
Mkuu wa wilaya ya Muheza.
Mwenyekiti wa Tayodea Stephen Kiama Mwaimu akizungumza wakati wa halfa hiyo
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muheza akizungumza kwenye halfa hiyo
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
kushoto akionyeshwa baadhi ya vifaa vya ushonaji waliokabidhiwa vijana
kupitia mradi wa WEKEZA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
kushoto akionyeshwa kitu na Meneja wa Mradi wa WEKEZA wa Tayodea Michael
Mchomvu wakati wa halfa hiyo
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
akitazama vifaa mbalimbali vya ushonaji wa kwanza kutoka kulia ni
Mkurugenzi wa Tayodea ,David Chanyegea
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
akimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi wa Tayodea,David Chanyegea kulia
wakati wa halfa ya kukabidhiwa vifaa vya ushonaji kwa vijana kupitia
mradi wa WEKEZA.
Meneja wa Mradi wa WEKEZA wa
Tayodea Michael Mchomvuwa kwanza kulia akifuatilia hotuba ya Kaimu Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo wakati wa kukabidhiwa vifaa kwa
vijana.
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha
No comments: