LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMISHNA WA UHAMIAJI MKOANI DAR ES SALAAM ATEMA CHECHE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

James Salvatory, Dar
Kamishna wa Idara ya Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam, John Msumule ametangaza vita kwa watumishi wa serikali hasa wa uhamiaji wanaohusika na mtandao wa biashara ya utoaji wa vibali vya makazi na vya kazi bandia kwa raia wa kigeni. 

Msumule aliyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amesema kuwa, idara yake ilifanya ukaguzi katika baadhi ya kampuni, na kukamata hati za kusafiria bandia zaidi ya 30.
 
Aidha alitoa wito kwa waajiri wote kuhakikisha wana ajiri raia wa kigeni wenye vibali halali vya kazi na makazi, huku akiwataka wageni wasio na vibali kurudi katika nchi walizotoka.
 
Katika hatua nyingine, Msumule alisema ofisi yake imemkamata raia wa Uganda anayefahamika kwa jina la Aisha Talib kwa kosa la kuishi bila kibali nchini, pamoja na kuhodhi pasport 15 za uraia wa Burundi na Madagasc

No comments:

Powered by Blogger.